Karibu Sokomoja. Tunauza simu na vifaa vya kielektroniki vya kisasa kwa wateja nchini Tanzania, kwa bei nafuu na huduma ya kuaminika.
Lengo letu ni kukufikishia bidhaa bora hadi mlangoni kwako, ili ulipe baada ya kuipokea na kuikagua.
Kwa nini Sokomoja?
- Lipa unapopokea, baada ya kukagua bidhaa.
- Tunakupigia simu kuthibitisha oda yako kabla ya kutuma.
- Msaada wa haraka kupitia barua pepe.
- Sera iliyo wazi ya kurejesha na kubadilisha.
Wasiliana nasi
Barua pepe: support@sokomoja.shop